TANGAZO LA AJIRA YA ULINZI
- Posted by uoaactz
- Categories Blog, Design / Branding, News
- Date July 26, 2023
- Comments 0 comment
Tangazo la Ajira ya Ulinzi
Chuo kikuu cha arusha kilichopo kijiji cha ngongongare kinawatangazia nafasi za kazi kwa kada ya ulinzi kwa mkataba. Hivyo waombaji wenye sifa wanatakiwa kutuma maombi ya nafasi hizo za kazi.
Nafasi ya Ulinzi (3)
Sifa za kuajiriwa
- Awe raia wa Tanzania
- Awe na cheti cha kidato cha nne au cha sita
- Awe na cheti cha mafunzo ya JKT au JESHI LA AKIBA
- Awe na kitambulisho cha NIDA
- Awe na barua ya utambulisho wa makazi toka serikali ya mtaa/kijiji
- Awe na umri kuanzia miaka 18 – 35
- Awe jinsia ya Kiume/Kike
- Awe na akili timamu
- Awe hajawahi kukutwa na makosa ya jinai
- Awe na uzoefu usiopungua miaka mitano
Maombi yanapokelewa kuanzia 25/07/2023 hadi 25/08/2023
Tuma maombi yako kwa kutumia anwani au barua pepe: dhr@uoa.ac.tz, ngussathe5th@gmail.com Tembelea www.uoa.ac.tz
You may also like

Admitted Students – Certificate Program
21 September, 2023

Admitted Students – Diploma Program
21 September, 2023

Admitted Students – Degree Program
21 September, 2023